2 Samueli 6:17 BHN

17 Kisha waliliingiza sanduku la Mwenyezi-Mungu ndani ya hema ambalo Daudi alikuwa amelipiga hapo na kuliweka mahali pake. Naye Daudi akatoa tambiko za kuteketezwa na tambiko za amani mbele ya Mwenyezi-Mungu.

Kusoma sura kamili 2 Samueli 6

Mtazamo 2 Samueli 6:17 katika mazingira