2 Samueli 6:16 BHN

16 Sanduku la Mwenyezi-Mungu lilipokuwa linaingia katika mji wa Daudi, Mikali binti Shauli alichungulia dirishani akamwona mfalme Daudi akirukaruka na kucheza mbele ya Mwenyezi-Mungu; basi, akamdharau moyoni mwake.

Kusoma sura kamili 2 Samueli 6

Mtazamo 2 Samueli 6:16 katika mazingira