2 Samueli 6:15 BHN

15 Hivyo, yeye na Waisraeli wote walilipeleka sanduku la Mwenyezi-Mungu hadi mjini mwa Daudi kwa shangwe na sauti kubwa ya tarumbeta.

Kusoma sura kamili 2 Samueli 6

Mtazamo 2 Samueli 6:15 katika mazingira