2 Samueli 6:14 BHN

14 Daudi akiwa amejifunga kizibao cha kuhani kiunoni mwake alicheza kwa nguvu zake zote mbele ya Mwenyezi-Mungu.

Kusoma sura kamili 2 Samueli 6

Mtazamo 2 Samueli 6:14 katika mazingira