2 Samueli 6:13 BHN

13 Watu wale waliolibeba sanduku la Mwenyezi-Mungu kila walipopiga hatua sita, Daudi alitoa tambiko: Fahali na ndama mmoja mnono.

Kusoma sura kamili 2 Samueli 6

Mtazamo 2 Samueli 6:13 katika mazingira