2 Samueli 6:12 BHN

12 Mfalme Daudi aliposikia kuwa Mwenyezi-Mungu ameibariki jamaa ya Obed-edomu na vitu vyote alivyokuwa navyo kwa sababu ya sanduku la Mungu, akaenda kulichukua sanduku la agano kutoka nyumbani kwa Obed-edomu na kulipeleka kwenye mji wa Daudi kwa shangwe.

Kusoma sura kamili 2 Samueli 6

Mtazamo 2 Samueli 6:12 katika mazingira