2 Samueli 6:11 BHN

11 Sanduku hilo la Mwenyezi-Mungu lilikaa nyumbani kwa Obed-edomu kwa muda wa miezi mitatu; naye Mwenyezi-Mungu akambariki Obed-edomu pamoja na jamaa yake.

Kusoma sura kamili 2 Samueli 6

Mtazamo 2 Samueli 6:11 katika mazingira