2 Samueli 6:10 BHN

10 Kwa hiyo, Daudi hakuwa tayari kulipeleka sanduku la Mwenyezi-Mungu ndani ya mji wa Daudi, bali Daudi alilipeleka nyumbani kwa Obed-edomu, Mgiti.

Kusoma sura kamili 2 Samueli 6

Mtazamo 2 Samueli 6:10 katika mazingira