2 Samueli 6:9 BHN

9 Siku hiyo Daudi alimwogopa Mwenyezi-Mungu akasema, “Sasa litanijiaje sanduku la Mwenyezi-Mungu?”

Kusoma sura kamili 2 Samueli 6

Mtazamo 2 Samueli 6:9 katika mazingira