2 Samueli 6:8 BHN

8 Naye Daudi alikasirika kwa kuwa Mwenyezi-Mungu alimwadhibu Uza kwa hasira. Hivyo, mahali hapo pakaitwa Peres-uza mpaka hivi leo.

Kusoma sura kamili 2 Samueli 6

Mtazamo 2 Samueli 6:8 katika mazingira