2 Samueli 6:7 BHN

7 Hapo, hasira ya Mwenyezi-Mungu ikawaka dhidi ya Uza. Mungu akamuua palepale. Uza akafa papo hapo kando ya sanduku la Mungu.

Kusoma sura kamili 2 Samueli 6

Mtazamo 2 Samueli 6:7 katika mazingira