2 Samueli 6:6 BHN

6 Walipofika kwenye uwanja wa kupuria nafaka wa Nakoni, Uza aliunyosha mkono wake na kulishika sanduku la Mungu kwa sababu wale ng'ombe walijikwaa.

Kusoma sura kamili 2 Samueli 6

Mtazamo 2 Samueli 6:6 katika mazingira