2 Samueli 6:5 BHN

5 Daudi na watu wote wa Israeli, wakawa wanaimba nyimbo na kucheza kwa nguvu zao zote, mbele ya Mwenyezi-Mungu. Walipiga ala za muziki zilizotengenezwa kwa mvinje: Vinubi, vinanda, matari, kayamba na matoazi.

Kusoma sura kamili 2 Samueli 6

Mtazamo 2 Samueli 6:5 katika mazingira