2 Samueli 6:2 BHN

2 Daudi aliondoka akaenda pamoja na watu wake wote aliokuwa nao kutoka Baala-yuda, kwenda kulichukua toka huko sanduku la Mungu linaloitwa kwa jina lake Mwenyezi-Mungu wa Majeshi, akaaye kwenye kiti chake cha enzi juu ya viumbe wenye mabawa.

Kusoma sura kamili 2 Samueli 6

Mtazamo 2 Samueli 6:2 katika mazingira