2 Samueli 6:3 BHN

3 Basi, wakalichukua sanduku la Mungu kutoka katika nyumba ya Abinadabu iliyokuwa mlimani, wakalibeba juu ya gari jipya. Uza na Ahio wana wa Abinadabu wakawa wanaliendesha gari hilo jipya,

Kusoma sura kamili 2 Samueli 6

Mtazamo 2 Samueli 6:3 katika mazingira