2 Samueli 7:6 BHN

6 Tangu siku ile nilipowatoa Waisraeli nchini Misri mpaka hivi leo sijaishi kwenye nyumba. Nimetembea kila mahali nikiwa ninakaa hemani.

Kusoma sura kamili 2 Samueli 7

Mtazamo 2 Samueli 7:6 katika mazingira