2 Samueli 8:5 BHN

5 Nao Waaramu wa Damasko walipokwenda kumsaidia Hadadezeri, mfalme wa Soba, Daudi aliwashambulia na kuwaua watu 22,000.

Kusoma sura kamili 2 Samueli 8

Mtazamo 2 Samueli 8:5 katika mazingira