6 Halafu Daudi aliweka kambi za kijeshi katika mji wa Waaramu wa Damasko. Basi, Waaramu wakawa watumishi wake na wakawa wanamlipa kodi. Mwenyezi-Mungu alimpa Daudi ushindi kokote alikokwenda.
Kusoma sura kamili 2 Samueli 8
Mtazamo 2 Samueli 8:6 katika mazingira