7 Huyo towashi mkuu akawapa majina mengine; Danieli akamwita Belteshaza, Hanania akamwita Shadraki, Mishaeli akamwita Meshaki na Azaria akamwita Abednego.
Kusoma sura kamili Danieli 1
Mtazamo Danieli 1:7 katika mazingira