8 Lakini Danieli aliamua kutojitia unajisi kwa kula chakula bora cha mfalme na kunywa divai yake. Kwa hiyo, alimwomba towashi mkuu amruhusu asile vitu hivyo na kujitia unajisi.
Kusoma sura kamili Danieli 1
Mtazamo Danieli 1:8 katika mazingira