Danieli 10:11 BHN

11 Akaniambia, ‘Danieli, wewe unayependwa sana, simama wima usikilize kwa makini maneno nitakayosema, maana nimetumwa kwako.’ Alipokuwa akiniambia maneno haya, mimi nilisimama nikitetemeka.

Kusoma sura kamili Danieli 10

Mtazamo Danieli 10:11 katika mazingira