Danieli 10:12 BHN

12 Ndipo yeye akaniambia, ‘Danieli, usiogope. Mungu alilisikia ombi lako tangu siku ile ya kwanza ulipoamua kujinyenyekesha mbele yake ili upate ufahamu. Mimi nimekuja kwa ajili ya ombi lako hilo.

Kusoma sura kamili Danieli 10

Mtazamo Danieli 10:12 katika mazingira