Danieli 10:13 BHN

13 Mkuu wa ufalme wa Persia alinipinga kwa muda wa siku ishirini na moja. Lakini Mikaeli, mmoja wa wakuu, akaja kunisaidia, kwa hiyo nikamwacha huko pamoja na mkuu wa ufalme wa Persia,

Kusoma sura kamili Danieli 10

Mtazamo Danieli 10:13 katika mazingira