Danieli 10:19 BHN

19 Akaniambia, ‘Usiogope wewe unayependwa sana, uko salama. Uwe imara na hodari.’ Aliposema nami, nilipata nguvu, nikamwambia, ‘Bwana, umekwisha niimarisha; sema kile ulichotaka kusema.’

Kusoma sura kamili Danieli 10

Mtazamo Danieli 10:19 katika mazingira