Danieli 10:20 BHN

20 Naye akaniambia, ‘Je, unajua kwa nini nimekujia? Sasa ni lazima nirudi kupigana na malaika mlinzi wa Persia. Halafu, nitakapokuwa nimemshinda, malaika mlinzi wa mfalme wa Ugiriki atatokea.

Kusoma sura kamili Danieli 10

Mtazamo Danieli 10:20 katika mazingira