Danieli 10:21 BHN

21 Lakini nitakujulisha yale yaliyoandikwa katika kitabu cha ukweli. Sina mwingine wa kunisaidia kuwashinda hawa isipokuwa Mikaeli, malaika mlinzi wenu.

Kusoma sura kamili Danieli 10

Mtazamo Danieli 10:21 katika mazingira