Danieli 11:10 BHN

10 “ ‘Wana wa mfalme wa kaskazini watakusanya jeshi kubwa na kujiandaa kwa vita. Jeshi hilo litasonga mbele kama mafuriko litapita na kupigana vita mpaka ngome ya adui.

Kusoma sura kamili Danieli 11

Mtazamo Danieli 11:10 katika mazingira