Danieli 11:20 BHN

20 “ ‘Huyu atafuatwa na mfalme mwingine ambaye atatuma mtozaushuru kupitia katika fahari ya ufalme wake. Mfalme huyo atauawa baada ya siku chache, lakini si kwa hasira wala vitani.

Kusoma sura kamili Danieli 11

Mtazamo Danieli 11:20 katika mazingira