Danieli 11:19 BHN

19 Hapo atageuka kurudi katika ngome za nchi yake mwenyewe, lakini atajikwaa na kuanguka vitani na huo ndio utakaokuwa mwisho wake.

Kusoma sura kamili Danieli 11

Mtazamo Danieli 11:19 katika mazingira