Danieli 11:18 BHN

18 Baadaye, atazigeukia na kuzishambulia nchi nyingi za pwani na kuzishinda. Lakini jemadari mgeni atamshinda na kuyakomesha majivuno yake mwenyewe; naam, atamrudishia mfalme wa kaskazini majivuno yake mwenyewe.

Kusoma sura kamili Danieli 11

Mtazamo Danieli 11:18 katika mazingira