Danieli 11:17 BHN

17 “ ‘Huyo mvamizi atakusudia kuja na jeshi lake lote, naye atafanya mapatano na kuyatekeleza. Atamwoza binti mmoja ili kuuangamiza ufalme wa adui yake; lakini mpango wake hautafaulu, wala kumfaidia lolote.

Kusoma sura kamili Danieli 11

Mtazamo Danieli 11:17 katika mazingira