Danieli 11:16 BHN

16 Mvamizi atawatenda kama apendavyo, hakuna atakeyethubutu kupingana naye. Atasimama katika nchi tukufu, na nchi hiyo yote itakuwa chini ya mamlaka yake.

Kusoma sura kamili Danieli 11

Mtazamo Danieli 11:16 katika mazingira