27 Hapo wafalme hao wawili wataketi pamoja mezani kula, lakini kila mmoja anamwazia mwenzake uovu, na kudanganyana. Ila hawatafanikiwa, maana wakati uliopangwa utakuwa bado haujatimia.
Kusoma sura kamili Danieli 11
Mtazamo Danieli 11:27 katika mazingira