Danieli 11:28 BHN

28 Mfalme wa kaskazini atarudi nchini mwake akiwa na mali nyingi, lakini nia yake moyoni ni kulitangua agano takatifu. Atafanya apendavyo, kisha atarudi katika nchi yake.

Kusoma sura kamili Danieli 11

Mtazamo Danieli 11:28 katika mazingira