Danieli 11:30 BHN

30 Meli kutoka Kitimu zitamshambulia, naye atashikwa na hofu. Kisha atarudi nyuma huku amejaa hasira na atalitangua agano takatifu. Hapo atafuata shauri la wale walioasi agano takatifu.

Kusoma sura kamili Danieli 11

Mtazamo Danieli 11:30 katika mazingira