Danieli 11:31 BHN

31 Wanajeshi wake watalitia najisi hekalu na ngome zake, watakomesha tambiko za kuteketezwa kila siku na kusimamisha huko hekaluni chukizo haribifu.

Kusoma sura kamili Danieli 11

Mtazamo Danieli 11:31 katika mazingira