Danieli 11:38 BHN

38 Badala ya miungu hiyo atamheshimu mungu mlinzi wa ngome, ambaye wazee wake kamwe hawakumwabudu, atamtolea dhahabu, fedha na vito vya thamani, na zawadi za thamana kubwa.

Kusoma sura kamili Danieli 11

Mtazamo Danieli 11:38 katika mazingira