37 Mfalme huyo hataijali miungu ya wazee wake wala yule anayependwa na wanawake. Ataidharau miungu mingine yote, kwani atajiweka kuwa mkuu kuliko kila mmoja wao.
Kusoma sura kamili Danieli 11
Mtazamo Danieli 11:37 katika mazingira