43 Atamiliki hazina za dhahabu, fedha na vito vyote vya thamani vya nchi ya Misri. Watu wa Libia na watu wa Kushi watafuata nyayo zake.
Kusoma sura kamili Danieli 11
Mtazamo Danieli 11:43 katika mazingira