5 “Kisha, mimi Danieli nikatazama, nikaona watu wawili wamesimama penye kingo za mto; mmoja upande huu na mwingine upande wa pili.
Kusoma sura kamili Danieli 12
Mtazamo Danieli 12:5 katika mazingira