Danieli 2:38 BHN

38 Amekupa mamlaka juu ya wanaadamu wote, wanyama wa porini na ndege wote wa angani, kokote kule waliko. Wewe ndiwe kile kichwa cha dhahabu!

Kusoma sura kamili Danieli 2

Mtazamo Danieli 2:38 katika mazingira