Danieli 2:39 BHN

39 Baada yako utafuata ufalme mwingine, lakini ufalme huo utakuwa dhaifu. Huu utafuatwa na ufalme wa tatu unaofananishwa na shaba; huo utaitawala dunia yote.

Kusoma sura kamili Danieli 2

Mtazamo Danieli 2:39 katika mazingira