Danieli 2:4 BHN

4 Wale Wakaldayo wakamwambia mfalme kwa Kiaramu, “Uishi, ee mfalme! Tusimulie ndoto yako nasi watumishi wako tutakufasiria.”

Kusoma sura kamili Danieli 2

Mtazamo Danieli 2:4 katika mazingira