Danieli 2:5 BHN

5 Mfalme akawaambia, “Nimetoa kauli yangu kamili: Ikiwa hamtanijulisha ndoto yenyewe na maana yake, mtangolewa viungo vyenu kimojakimoja, na nyumba zenu zitabomolewa.

Kusoma sura kamili Danieli 2

Mtazamo Danieli 2:5 katika mazingira