Danieli 3:1 BHN

1 Mfalme Nebukadneza alitengeneza sanamu ya dhahabu, yenye kimo mita ishirini na nane na upana mita tatu. Aliisimamisha katika sehemu tambarare ya Dura, mkoani Babuloni.

Kusoma sura kamili Danieli 3

Mtazamo Danieli 3:1 katika mazingira