Danieli 3:13 BHN

13 Hapo mfalme Nebukadneza, huku akiwaka hasira, akaamuru Shadraki, Meshaki na Abednego waletwe mbele yake. Nao wakawaleta mbele ya mfalme.

Kusoma sura kamili Danieli 3

Mtazamo Danieli 3:13 katika mazingira