Danieli 3:21 BHN

21 Basi, vijana hao wakafungwa hali wamevaa makoti yao, kanzu zao, kofia na mavazi yao mengine, wakatupwa katikati ya ile tanuri ya moto mkali.

Kusoma sura kamili Danieli 3

Mtazamo Danieli 3:21 katika mazingira