22 Kwa vile amri ya mfalme ilikuwa kali, ule moto ulikuwa umewashwa ukawa mkali sana, hata ndimi za moto zikawateketeza wale watu waliowapeleka Shadraki, Meshaki na Abednego.
Kusoma sura kamili Danieli 3
Mtazamo Danieli 3:22 katika mazingira