30 Basi, akasema kwa sauti, “Tazama Babuloni, mji mkuu nilioujenga kwa nguvu zangu uwe makao yangu ya kifalme na kwa ajili ya utukufu wangu!”
Kusoma sura kamili Danieli 4
Mtazamo Danieli 4:30 katika mazingira