Danieli 4:31 BHN

31 Mara tu alipotamka maneno hayo, sauti kutoka mbinguni ikatamka: “Ewe mfalme Nebukadneza, sikiliza ujumbe huu juu yako! Ufalme umekutoka!

Kusoma sura kamili Danieli 4

Mtazamo Danieli 4:31 katika mazingira